Sponsored Links
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa anazuru Ukanda wa Gaza, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kufufua mpango wa amani wa Mashariki ya Kati.
2010-03-21T09:44:15+00:00
Afrika Kusini inakumbuka miaka 50 tangu kutokea mauaji ya Sharpeville, yaliyofanya dunia kutambua mateso waliyokuwa wakipata watu weusi.
2010-03-21T14:13:21+00:00
Wafadhili wa kimataifa wanakutana mjini Cairo kukusanya dola billioni mbili za kusaidia jimbo linalokabiliwa na mizozo la Darfur nchini Sudan.
2010-03-21T09:56:59+00:00
Watu 22 wamehukumiwa kifungo cha miaka sita na mahakama moja katika jimbo la Puntland, nchini Somalia, kwa kupatikana na hatia ya kuhusika na uharamia.
2010-03-21T10:31:30+00:00
Kamati ya bunge ya Kenya inayojadili vipengele vya katiba mpya iliyosubiriwa kwa muda mrefu imependekeza nusu ya wajumbe wa baraza jipya la senate litakalokuwa na uwezo mkubwa wawe wanawake.
2010-03-20T13:25:21+00:00
Barua kutoka kwa Papa Benedict akijibu kwa mara ya kwanza hadharini kuhusu unyanyasaji wa kimapenzi na kuwatendea vibaya watoto uliofanywa na maaskofu nchini Ireland itachapishwa hivi karibuni.
2010-03-20T13:07:27+00:00
Rais Obama kwa mara nyingine tena ametoa ujumbe maalum kwa Iran, ambayo inasherehekea mwaka wake mpya mwishoni mwa juma hili.
2010-03-20T12:57:25+00:00
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa ameanza ziara Mashariki ya Kati kujaribu kuzishawishi Israel na Palestina waanzishe upya mazungumzo ya amani yaliyokwama.
2010-03-20T08:14:19+00:00
Timu inayojitahidi ishushe daraja ya Wolves imeshindwa kusogea juu zaidi baada ya John Carew kuisawzishia Aston Villa dakika za mwisho na timu hizo kutoka sare ya mabao 2-2.
2010-03-21T01:00:30+00:00
Shirikisho la Soka la Algeria (Faf) limeshindwa rufaa yake ya Kombe la Dunia inayohusiana na kutenguliwa adhabu ya kufungiwa Nadir Belhadj na Faouzi Chaouchi.
2010-03-20T14:03:26+00:00
Mlinda mlango wa Manchester City Shay Given amesema wanakabiliwa na chagizo kumaliza Ligi Kuu ya England nafasi ya nne ili kuweza kucheza Ligi ya Mabingwa wa Ulaya msimu ujao.
2010-03-20T12:25:09+00:00
Idhaa ya Kiswahili ya BBC inafanya vipindi mbali mbali vya kukumbuka miaka 20 tangu kifo cha hayati Luambo Makiadi, a.k.a Franco, mwanamuziki maarufu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
2009-10-14T14:16:02+00:00
BBC World News, katika mfululizo wa vipindi maalum vya televisheni na radio, vile vile online, wameanzisha shindano la kuandaa makala fupi ya video - iwe ni umeipiga kwa digital camera au mobile phone camera, ruksa!
2010-03-19T17:58:32+00:00
Elimu kwa vijana kuhusu afya ya uzazi.
Magazeti na vyombo vya habari vya Afrika ya Mashariki.
2010-02-05T19:29:02+00:00
Sofomo ™ © 2007